iqna

IQNA

sheikh zakzaky
Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na kusisitiza kuwa, Palestina na Ghaza ni dhihirisho la nguvu za Uislamu.
Habari ID: 3477740    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/15

TEHRAN (IQNA) – Sheikh Ibrahm Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria akizungumza kuhusu zawadi maalum na mikutano ambayo ilikuwa na ushawishi mkubwa kwake miaka 44 iliyopita.
Habari ID: 3477724    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/14

Sheikh Ibrahim Zakzaky
Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) ametangaza kuwa, licha ya kupita miaka 34 tangu kuaga dunia Imam Ruhullah Khomeini, fikra za mwasisi huyo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado ziko hai.
Habari ID: 3477101    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/05

Waislamu Duniani
TEHRAN (IQNA) - Wananchi Waislamu wa Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo, Abuja, kulalamikia ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika Jamhuri ya Azerbaijan.
Habari ID: 3476235    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/11

TEHRAN (IQNA)- Wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) wamefanya maandamano nchini humo wakitaka kuachiwa huru bila ya masharti yoyote mwanazuoni huyo mtajika.
Habari ID: 3474033    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/23

Mwanae Sheikh Zakzaky
TEHRAN (IQNA) - Mtoto wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, serikali ya Rais Buhari imeendelea kufanya vitendo vya ukandamizaji dhidi ya baba yake huyo anayeshikiliwa gerezani.
Habari ID: 3472920    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/01

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran ametaka vyombo vya mahakama nchini viwatetee Waislamu wanaodhulumiwa duniani
Habari ID: 3471049    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/04

Waislamu wasiopungua 10 wameuawa shahidi Jumatano baada ya jeshi kuwashambulia Waislamu waliokuwa katika maombolezo ya Ashura ya kukumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad SAW , Imam Hussein bin Ali AS katika jimbo la Katsina huko kaskazini magharibi mwa Nigeria.
Habari ID: 3470610    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/13

Mwanazuoni wa Nigeria katika mzungumzo na IQNA:
Pamoja na kuwa serikali ya Nigeria kidhahiri imetangaza Waislamu wa madhehebu ya Shia hawatawekewa vizingit katika maombolezo ya siku 10 za Muharram, imebainika kuwa kuna vizingiti katika Siku ya Ashura.
Habari ID: 3470600    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/05

Waislamu wa Nigeria kwa mara nyingine tena wameandamana wakimuunga mkono Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria anayeshikiliwa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo kwa miezi kadhaa sasa.
Habari ID: 3470577    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/23

Waislamu nchini Nigeria wameendelea kufanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo na kuelezea wasiwasi walionao kuhusiana na hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
Habari ID: 3470554    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/09

Mahakama ya Juu Nigeria imepinga ombi lililotolewa la mawakili wa nchi hiyo la kutaka kuachiliwa huru mara moja Sheikh Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
Habari ID: 3470542    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/01

Shirika la Kutetea Haki za Mashia (SRW)
Hali ya kiafya ya kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria INM, Sheikh Ibrahim Zakzaky inazidi kuwa mbaya, Shirika la Kutetea Haki za Waislamu wa Madhehebu ya Shia, SRW, limesema.
Habari ID: 3470519    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/13

Shirika moja la kutetea haki za binadamu Nigeria limetoa wito kwa serikali ya nchi hiyo kuwafikisha kizimbani wanajeshi waliohusika katika kuwaua Waislamu wa madhehebu ya Shia mwezi Desemba mwaka jana.
Habari ID: 3470516    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/11

Mahakama ya Nigeria imeunda tuma ya uchunguzi kuhusu mauaji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya Waislamu Desemba 2015.
Habari ID: 3470280    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/01